TLS: Tutaendelea kumsaidia na kusimama imara na Wakili Boniface Mwabukusi

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limesema litaendelea kusimama imara na kumtetea Rais wa chama hicho, Wakili Boniface Mwabukusi, ambaye sasa yupo chini ya upelelezi wa Jeshi la Polisi pamoja na shauri la maadili.

Msimamo mkuu wa TLS ni kwamba baraza hilo lina wajibu wa kisheria, chini ya Kifungu cha 4(d) cha Sheria ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (CAP 307)—kuwawakilisha, kuwalinda, na kuwasaidia wanachama wake wote, ikiwa ni pamoja na kiongozi wao mkuu.

Nini kilitokea?

Kauli ya TLS Kuhusu Kesi ya Tundu Lissu: Mnamo Aprili 30 na Mei 11, 2026, Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi, alizungumza kwa niaba ya chama na kueleza kutoridhishwa na mwenendo wa shauri la uhaini linalomkabili Rais mstaafu wa TLS, Wakili Tundu Lissu. Hatua hii ilikuwa ni utekelezaji wa maazimio ya Mkutano Mkuu wa TLS (AGM 2026).

Kufunguliwa Shauri la Maadili: Kutokana na kauli hizo, tarehe 27 Mei 2026, Wakili Chacha Mwita Nashon alifungua shauri la maombi namba 4 la mwaka 2026 dhidi ya Mwabukusi kwenye Kamati ya Kitaifa ya Maadili ya Mawakili, akimshutumu kuhusu utekelezaji wa majukumu yake.

IMG_3152.jpeg
 
Utawala wa sheria unafanya kazi kisheria sio kidikteta

Sasa mlitaka afanyweje zaidi ya hatua zile zimechukuliwa!!!

Wapinzani wanajifanya watu vile tu bado wapo nje ya Utawala
lkn Wakishika Madaraka ndio mtawaelewa langi. zao !!!

Rais wa Congo TShisekedi nayeye alikuwa mpinzani
Lkn kwasasa kafuta vyama vya Upinzani 17 vyote!!!

Zambia napo ndio ivyo nayeye alikuwa mpinzani lkn
Mpinzani wake Uchaguzi wa juzi yupo Lupango kesi ya Uhaini japo kufikia sasa kesi yenyewe kimyaaa

AFRICA hakuna wapinzani kuna wahuni makatili sana lkn kwasasa wanajifanya kutia uruma uruma

yani CCM ni Malaika kabisa!!!

Siku wapinzani wakishika Serikali ndio mtakumbuka yale ya Libya taifa litaenda chimoni kabisa!!!!!
 
Wakuu,

Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limesema litaendelea kusimama imara na kumtetea Rais wa chama hicho, Wakili Boniface Mwabukusi, ambaye sasa yupo chini ya upelelezi wa Jeshi la Polisi pamoja na shauri la maadili.

Msimamo mkuu wa TLS ni kwamba baraza hilo lina wajibu wa kisheria, chini ya Kifungu cha 4(d) cha Sheria ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (CAP 307)—kuwawakilisha, kuwalinda, na kuwasaidia wanachama wake wote, ikiwa ni pamoja na kiongozi wao mkuu.

Nini kilitokea?

Kauli ya TLS Kuhusu Kesi ya Tundu Lissu: Mnamo Aprili 30 na Mei 11, 2026, Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi, alizungumza kwa niaba ya chama na kueleza kutoridhishwa na mwenendo wa shauri la uhaini linalomkabili Rais mstaafu wa TLS, Wakili Tundu Lissu. Hatua hii ilikuwa ni utekelezaji wa maazimio ya Mkutano Mkuu wa TLS (AGM 2026).

Kufunguliwa Shauri la Maadili: Kutokana na kauli hizo, tarehe 27 Mei 2026, Wakili Chacha Mwita Nashon alifungua shauri la maombi namba 4 la mwaka 2026 dhidi ya Mwabukusi kwenye Kamati ya Kitaifa ya Maadili ya Mawakili, akimshutumu kuhusu utekelezaji wa majukumu yake.

View attachment 3692555
Sawa
 
hata kuna wengine walisimama imara kususia uchaguzi na uchaguzi wenyewe ukafanyika kwa amani, uhuru, uwazi na haki sembuse mkiuka sheria kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria?🐒
 
Back
Top Bottom