TLS wana haja ya kuendelea na shauri lao?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Jopo ni lile lile.Hoja ni zile zile.Zimebadilika pande tu.Ametoka Saed Kubenea na kuingia Tanganyika Law Society. Kuna haja ya TLS kuendelea na shauri lao huku kukiwa na uamuzi wa Mahakama hiyo hiyo na jopo hilo hilo juu ya Bunge Maalum la Katiba? Binafsi,sioni haja ya kuendelea na shauri wakati tayari suala la katiba limeshatamkwa kuwa ni suala la kisiasa.
 
mshapoteza jipangeni tena taifa hili siyo la wajinga kama chadema wanaodandia mambo ambayo haya hayana maana wala faida kwa jamii.
 

watapoteza tena hata kama wakienda ICC nako mtagongwa tu hata kama mkifanya vipi mtaendele kuaibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…