Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Jopo ni lile lile.Hoja ni zile zile.Zimebadilika pande tu.Ametoka Saed Kubenea na kuingia Tanganyika Law Society. Kuna haja ya TLS kuendelea na shauri lao huku kukiwa na uamuzi wa Mahakama hiyo hiyo na jopo hilo hilo juu ya Bunge Maalum la Katiba? Binafsi,sioni haja ya kuendelea na shauri wakati tayari suala la katiba limeshatamkwa kuwa ni suala la kisiasa.