GE2025 TLS wanahitaji support ya Umma ila kwa ujinga wetu tumekaa kimya, watu wako busy kujadili Kocha wa Simba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Kitendo cha TLS kutangaza maandamano ya amani ncni nzima pale pale ilikuwa umma utoe sapoti ya kutosha, ila haipo hio sapoti.

Ofisi zao kule Dar zimevamiwa hakuna Keybord worrior hata mmoja alioko frontline kutoa sapoti. Hakuna raia wanao sema watoke wakaone kuna nini pale hakuna.TLS wameachwa wenyewe bila sapoti.

Kwa staili hii kwa nini CCM wasitawale miaka milion 100 ijayo? kama hizi ndio akili zetu.

Narudia kusema na nitarudia sana tena na tena, kinacho wapa nguvu watawala wa hii nchi ni uzezeta wa Watanzania na wala sio Polisi wala Mahakama.

Uzezeta wetu ndio mtaji mkuu na wa uhakika wa CCM na watawala wake.
 
Ukiwakuta watu kwenye Foleni ya kumuona Daktari wanasimama kila wakiskia mlio fulani.

Kwakuwa hamna bond hutouliza mtu na utabaki kutazama baada ya Muda na wewe utaanza kusimama na kukaa.

Wanakuja Ng'ombe wengine nao Ni hivyo hivyo.
Hakuna kuhoji ni Consume and One.
Welcome to the System.
Generational Attack Bruh.
 
Hawa nyumbu waliojaa mtandaoni hawawezi kuandamana hata kwa hatua 10 , usiskilize mikwara yao mitandaoni , ukiwasikiliza wanaweza wakakuponza mitandaoni mikwara kibao ila siku ya maandamano ikfika wanaficha pua ndani
 
Kila siku Kitaa watu wanavyonyanganywa haki na kutendewa hayo ambayo leo TLS wanetendewa huwa wanawaunga mkono kiasi gani ?

Mpaka pale tutakapoanza kugombania HAKI kama HAKI no matter nani kafanyiwa (adui au so called rafiki) tutaendelea ku-perish mmoja mmoja; ila kosa mara nyingi hizi Taasisi hazionekani kama zinampigania mbangaizaji kila siku bali pale tu shida zake zinapo-coincide na shida za mbangaizaji...;

Lakini sad enough kama hakuna mabadiliko dhoruba litakuja wala sio la kuombea sababu litaondoka na wote (wenye hatia na wasio na hatia) huyu unayemuita mjinga na muoga will come a time when the last strawl will break one's back....

Sio leo wala Kesho Bongo wadau bado wana hope; kinachokosekana ni visionary wa kuwaongoza; na tunapoelekea kwa watu kukosa ujira litakuja taifa la watu with no Hope or anything to lose (Ya Kenya na Gen-Z au huko Arabian Spring yatakuwa cha mtoto huenda yakawa on par with French Revolution
 
Kitendo cha TLS kutangaza maandamano ya amani ncni nzima pale pale ilikuwa umma utoe sapoti ya kutosha, ila haipo hio sapoti.

Ofisi zao kule Dar zimevamiwa hakuna Keybord worrior hata mmoja alioko frontline kutoa sapoti. Hakuna raia wanao sema watoke wakaone kuna nini pale hakuna.TLS wameachwa wenyewe bila sapoti.

Kwa staili hii kwa nini CCM wasitawale miaka milion 100 ijayo? kama hizi ndio akili zetu.

Narudia kusema na nitarudia sana tena na tena, kinacho wapa nguvu watawala wa hii nchi ni uzezeta wa Watanzania na wala sio Polisi wala Mahakama.

Uzezeta wetu ndio mtaji mkuu na wa uhakika wa CCM na watawala wake.
Mwambukusi juzi katoka Ikuru na sifa kedekede kwa Samia, kwamba mda sio mrefu mambo yatakuwa safi, Maana rais kamuakikishia leo hii anataka sapoti ya mwananchi.Kwakweli Watanganyika bado tuna safari ndefu sana,kijua rafiki wa kweli na muongo.
 
Waweke ratiba yao trh 29, mbona chap watakuwa mbele na nyomi nyuma.
 
Rais wao alisema haoni haja ya kufanya mabadiliko ndani ya miaka mitano hii. Ila yeye analenga miaka 200. Nilimshangaa sana
 
Umechelewa sana kujua hilo.
 
Kitendo cha TLS kutangaza maandamano ya amani ncni nzima pale pale ilikuwa umma utoe sapoti ya kutosha, ila haipo hio sapoti.

Ofisi zao kule Dar zimevamiwa hakuna Keybord worrior hata mmoja alioko frontline kutoa sapoti. Hakuna raia wanao sema watoke wakaone kuna nini pale hakuna.TLS wameachwa wenyewe bila sapoti.

Kwa staili hii kwa nini CCM wasitawale miaka milion 100 ijayo? kama hizi ndio akili zetu.

Narudia kusema na nitarudia sana tena na tena, kinacho wapa nguvu watawala wa hii nchi ni uzezeta wa Watanzania na wala sio Polisi wala Mahakama.

Uzezeta wetu ndio mtaji mkuu na wa uhakika wa CCM na watawala wake.
Simba yanga,yanga Simba huku nchi inaliwa
 
Back
Top Bottom