BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Mwambukusi juzi katoka Ikuru na sifa kedekede kwa Samia, kwamba mda sio mrefu mambo yatakuwa safi, Maana rais kamuakikishia leo hii anataka sapoti ya mwananchi.Kwakweli Watanganyika bado tuna safari ndefu sana,kijua rafiki wa kweli na muongo.Kitendo cha TLS kutangaza maandamano ya amani ncni nzima pale pale ilikuwa umma utoe sapoti ya kutosha, ila haipo hio sapoti.
Ofisi zao kule Dar zimevamiwa hakuna Keybord worrior hata mmoja alioko frontline kutoa sapoti. Hakuna raia wanao sema watoke wakaone kuna nini pale hakuna.TLS wameachwa wenyewe bila sapoti.
Kwa staili hii kwa nini CCM wasitawale miaka milion 100 ijayo? kama hizi ndio akili zetu.
Narudia kusema na nitarudia sana tena na tena, kinacho wapa nguvu watawala wa hii nchi ni uzezeta wa Watanzania na wala sio Polisi wala Mahakama.
Uzezeta wetu ndio mtaji mkuu na wa uhakika wa CCM na watawala wake.
Simba yanga,yanga Simba huku nchi inaliwaKitendo cha TLS kutangaza maandamano ya amani ncni nzima pale pale ilikuwa umma utoe sapoti ya kutosha, ila haipo hio sapoti.