TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya

Wakamatwe hao mafala na fala mwenzao aliyewatuma, ushahidi ni connection kesi week moja week yapili wapigwe umeme, 30yrs.

Kama kweli wajeda basi jeshi lichunguze nidhamu za askari wake.
Sio 30 mkuu,ni maisha kwa gang rape.Pia viboko vinaweza kuhusishwa kwa mujibu wa mwanasheria.
 
Sio 30 mkuu,ni maisha kwa gang rape.Pia viboko vinaweza kuhusishwa kwa mujibu wa mwanasheria.

Kama ni life sentenced acha iwe somo kwa wengine, wale kifungo tu ili jamii iwe na tolerance kwenye matendo.
Tena wakati kesi magazeti na media zingine zianikwe picha zao hadharani na hukumu isichukue muda mrefu.
 
Hao wahuni siyo wafadhili wa CCM watadakwa tu hata bila matamko ya kila taasis,muhimu wangejielekeza kusaidia maelfu ya wananchi wanaohitaji msaada ya kisheria
 
Kama ni maaskari mbona ni aibu kubwa hii kwa jeshi letu,wakamatwe mara Moja wakaozee jela tu hamna namna
 
No ukisema umeiona video mahali itakuyumbisha kisheria kuna maswali mengi yatazuka.
Utaulizwa hiyo video umeiona wapi unaweza kuileta?Na ukiileta utaulizwa ni nani aliyekupatia hii video na yeye aliipataje au aliipata wapi?Unaweza kumleta aliyekupatia video ili atusaidie upelelezi?Mlolongo utakuwa mrefu sana ndio maana wanaandika hivyo ili wakiomba ushahidi wanaletewa maneno yao wenyewe waliotamka kisha wao wenyewe ndio waendelee kuleta kuutafuta ushahidi.
Mitego ya kisheria ndio iko hvyo ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…