King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Bado tu hawajakamatwa? Yaani kila kitu kipo wazi na bado hawajakamatwa? tunalitilia shaka GESHI letu,yaani wamezidiwa mbinu na hao WAHUNI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio 30 mkuu,ni maisha kwa gang rape.Pia viboko vinaweza kuhusishwa kwa mujibu wa mwanasheria.Wakamatwe hao mafala na fala mwenzao aliyewatuma, ushahidi ni connection kesi week moja week yapili wapigwe umeme, 30yrs.
Kama kweli wajeda basi jeshi lichunguze nidhamu za askari wake.
Sio 30 mkuu,ni maisha kwa gang rape.Pia viboko vinaweza kuhusishwa kwa mujibu wa mwanasheria.
Tunataka wakiwa mahabusu wahasiwe.tunaomba wakikamatwa mawakili wasiwateteee
Yule mtoto aliomba hadi maji masikinitunaomba wakikamatwa mawakili wasiwateteee
yaani, sijui hiz sheria za dini zipoje, mara waseme ni marufuku mwanamke kuongoza wababa,sasa ikawajeAkipita huyu maza, hatutakuja kuwa na raisi wa kike kwa kizazi hiki. Kosa kubwa sana tulifanya.
duuh kumbe ni mtotoYule mtoto aliomba hadi maji masikini
Hilo ni ombi linaweza kukubalika au kukataliwa. Lakini iwe iwavyo hao watuhumiwa wanayo HAKI ya kujitetea eidha wao wenyewe binafsi au kwa kutumia Mawakili.tunaomba wakikamatwa mawakili wasiwateteee
No ukisema umeiona video mahali itakuyumbisha kisheria kuna maswali mengi yatazuka.Ila wanasheria wana lugha za konakona sana hiyo yote kujifanya wao hawajaiona hiyo connection badala yake ile tarifa ya Polisi ndiyo imewahabarisha ya kile kilichotokea.
Nadhani wangenyooka tu kwa kusema "Baada ya kuangalia ile connection hakika hatujafurahishwa na ule unyama aliotendewa binti anayeonekana kwenye connection ile na tunaliomba Jeshi la Polisi lichukue hatua madhubuti dhidi ya wahusika ikiwemo kufikishwa mahakamani".
Mbona wanajamii sisi ni waelewa tu wala hatutawalaumu maana tutajua hawajaangalia connection kwa nia mbaya bali kumsaidia victim aweze kupata haki yake.
Ni haki ya kila mmoja kupata usaidizi wa kisheria.Subiri sasa wakishakamatwa miongoni mwa wanachama wa TLS a watakuwa wanasheria wao
wanawezaje kuwakamata hawa jamaa? RAIS WA tls AKILI YAKE ANAIJUWA MWENYEWEBado tu hawajakamatwa? Yaani kila kitu kipo wazi na bado hawajakamatwa? tunalitilia shaka GESHI letu,yaani wamezidiwa mbinu na hao WAHUNI?
View attachment 3062324