TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

TLS sasa iko moto. Ila wawe wanaandika taarifa fupi. Mfano.

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko taarifa za vitisho dhidi ya mawakili Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. TLS inalaani vikali vitendo hivyo kwani vinakinzana na Katiba. TLS inasisitiza kuwa mawakili wana haki ya kuzungumza bila vikwazo na kushiriki katika kuelimisha jamii juu ya haki za raia. Aidha, TLS inatoa wito kwa Serikali na vyombo vya ulinzi kuhakikisha usalama wa mawakili hawa unalindwa. Ikiwa kuna tuhuma, zifuate taratibu za kisheria.

Imetolewa na TLS - Boniface A.K Mwabukusi
 
Kwa njia ya majini ,Kobe,njiwa,ujumbe wasap,sms au nn kama ni njiwa ,jini au Kobe ningumu...ila kama ni sms hizi au kupigiwa uende kuripoti ili kazi ifanyike
Kama ni X, IG, Telegram au mtando mwingine wowote wa kijamii, hata waki report watawapataje wahusika na kule wanatumia user names?​
 
sawaa
 
Najiuliza hizi Siasa zinazofanyika ni mama au kuna watu wananguvu kuliko mama?
Wanaobi watii sheria bila shuruti ndo hao hao wakwanza kutozitiii nasikitika sana nkiona tunagimizwa tufuate sheria na wabaotuambia na wao wanatutisha tukifanya majukumu yetu
 
Futeni katiba na sheria tuwe matajiri km china mnawekaje sheria alafu mnataka watu baadhi wafuate wengine zisiwafuate futeeeeni tuongozane km ng'ombe
 
Kwann manake ccm watu wakifata sheria hawataki wasipofuata hawataki
Mimi naona njia nzuri ni kuhakikisha kwanza katiba inabadilika na kupunguza mamlaka kwa baadhi ya wakuu wa dola kama alivyopendekeza mzee wangu Warioba​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…