Kwakuwa maafisa wa Guinness World Records wako Arusha kufuatilia tukio la Mh. Paul Makonda, tunaomba mkuu wa mkoa huyo awaambie pia serikali yetu imeshindwa kupata watu wanaoteka watu nasasa zaidi ya watu 200 wametekwa na hakuna mtuhumiwa hata 1.
Hii ni record nzuri pia ya kuitunza kwaajili ya vizazi vijavyo ili wajue wazee wao walikuwaje.