TLS, yatoa orodha ya watu waliopotea na kutekwa na tamko juu ya ongezeko la vitendo vya utekaji na upoteaji wa watu nchini

TLS, yatoa orodha ya watu waliopotea na kutekwa na tamko juu ya ongezeko la vitendo vya utekaji na upoteaji wa watu nchini

Bado matukio haya yapo. Tusambaze ujumbe huu ili kuisaidia familia yake kumpata (kama ikiwezekana)
IMG_5894.jpeg
 
Kwakuwa maafisa wa Guinness World Records wako Arusha kufuatilia tukio la Mh. Paul Makonda, tunaomba mkuu wa mkoa huyo awaambie pia serikali yetu imeshindwa kupata watu wanaoteka watu nasasa zaidi ya watu 200 wametekwa na hakuna mtuhumiwa hata 1.

Hii ni record nzuri pia ya kuitunza kwaajili ya vizazi vijavyo ili wajue wazee wao walikuwaje.
 
Na wawaambie watekaji wanajulikana ispokuwa serikali ya kizimkazi imejifanya haiyajui lakini inayafanya yenyewe
 
Back
Top Bottom