TMA hizi mvua hawakuziona kwenye rada zao?

TMA hizi mvua hawakuziona kwenye rada zao?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) hawakutupatia taadhari juu ya mvua zilizopiga jana usiku mikoa ya pwani.

Kuna watu zinaweza kua zimewaharibia mali au makazi yao. Kwanini hawakutoa taarifa za awali tuchukue taadhari. Au tuseme rada zao hazikuona?

Mvua zimekuja ghafla from nowhere hadi barabara zinafungwa.
 
Hivi kwa mfano watu wa mabondeni kule kama Jangwani huwa wanachukua tahadhari gani kabla mvua hazijaanza?

Najua 75% ya wakazi wa Dar wako hatarini kwa athari za mvua lakini hawajali
Angalau ata uweke baadhi ya vitu juu ili maji yakiingia yasiharibu. Mfano mtu umefunga duka lako la cement jioni, mvua ikaanza, ikajaa kwenye fremu hasara kubwa sana.
 
Mimi app ya simu ilinitaadharisha tangu jana na leo mda wa saa kumi na mbili iliniambia kutakuwa na mvua masaa manne yajao na inanyesha mda huu.

Screenshot_20240619_233818_Weather.jpg
 
Mimi app ya simu ilinitaadharisha tangu jana na leo mda wa saa kumi na mbili iliniambia kutakuwa na mvua masaa manne yajao na inanyesha mda huu.

View attachment 3021035
Bora kutumia izi App sasa. Maana unalala usiku unashusha miguu uende toilet unakutana na maji ya ugoko. Plus uliacha multiplug chini unakula shoti unakufa. Dokta anafanya autopsy wanasema njaa stress na madeni vimekuua.
 
leo ni very humid pc yangu ilinionesha toka jana kuwa mvua itakuwa kubwa
 
Back
Top Bottom