TMA hizi mvua hawakuziona kwenye rada zao?

TMA wamesafiri leo kwenda Dubai kufanya tathmini ya mvua ya leo, halafu watakuja na tamko.
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) hawakutupatia taadhari juu ya mvua zilizopiga jana usiku mikoa ya pwani.

Kuna watu zinaweza kua zimewaharibia mali au makazi yao. Kwanini hawakutoa taarifa za awali tuchukue taadhari. Au tuseme rada zao hazikuona?

Mvua zimekuja ghafla from nowhere hadi barabara zinafungwa.
Ndio umewastua na hii thread.
Walikua wako bungeni wanaangalia vichekesho kutoka kwa msanii Betina.
 
Taasisi yenyewe ofisi zake ziko ubungo plaza,what do you expect hapo?
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) hawakutupatia taadhari juu ya mvua zilizopiga jana usiku mikoa ya pwani.

Kuna watu zinaweza kua zimewaharibia mali au makazi yao. Kwanini hawakutoa taarifa za awali tuchukue taadhari. Au tuseme rada zao hazikuona?

Mvua zimekuja ghafla from nowhere hadi barabara zinafungwa.
Jenga utaratibu wa kuangalia utabiri wa hali ya hewa kwenye taarifa za habari, cnn BBC etc au local channels. Pia kwenye simu yako.
 
Back
Top Bottom