Angalau ata uweke baadhi ya vitu juu ili maji yakiingia yasiharibu. Mfano mtu umefunga duka lako la cement jioni, mvua ikaanza, ikajaa kwenye fremu hasara kubwa sana.Hivi kwa mfano watu wa mabondeni kule kama Jangwani huwa wanachukua tahadhari gani kabla mvua hazijaanza?
Najua 75% ya wakazi wa Dar wako hatarini kwa athari za mvua lakini hawajali
Bora kutumia izi App sasa. Maana unalala usiku unashusha miguu uende toilet unakutana na maji ya ugoko. Plus uliacha multiplug chini unakula shoti unakufa. Dokta anafanya autopsy wanasema njaa stress na madeni vimekuua.Mimi app ya simu ilinitaadharisha tangu jana na leo mda wa saa kumi na mbili iliniambia kutakuwa na mvua masaa manne yajao na inanyesha mda huu.
View attachment 3021035
Kwahy kesho wakisema kutakuwa na mvua ndio mtaanza kuchukua tahadhari au?Watabiri wa ajabu ila kesho watasema kitu b
Bc imeisha hy sio lazima TMA watangazeTaadhari tushaanza. Hapa sehemu zote zinazovuja tumefix na madirisha tumerekebisha.
Unafika pale umelowa knoma afu unawauliza, vp wakuu mbona leo kuna mvua na hamtangazi 😂Wanakula mishahara kwa kodi zetu, hafu hawafanyi kazi. No, lazima wafanye majukumu yao. Kesho napita Ubungo Plaza kuwauliza.