TMA hizi mvua hawakuziona kwenye rada zao?

TMA wamesafiri leo kwenda Dubai kufanya tathmini ya mvua ya leo, halafu watakuja na tamko.
 
Ndio umewastua na hii thread.
Walikua wako bungeni wanaangalia vichekesho kutoka kwa msanii Betina.
 
Taasisi yenyewe ofisi zake ziko ubungo plaza,what do you expect hapo?
 
Jenga utaratibu wa kuangalia utabiri wa hali ya hewa kwenye taarifa za habari, cnn BBC etc au local channels. Pia kwenye simu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…