TMA: Kiwango cha chini cha joto Dar kufikia 19°C

TMA: Kiwango cha chini cha joto Dar kufikia 19°C

sema dar inatuharibu,hii sio baridi ya mtu kukosa amani.

yaani eti kabisa naamka asubuhi njmevaa na koti kabisaaa[emoji1787][emoji1787]

oyaaaa subiri ujitwalie gitaa la dalikimoko,hili baridi ni vita ya kiuchumi,walengwa ni vijana ambao ndio taifa la leo,wajichanganye na gitaa wapotelee huko.
 
Yaani kwa hili Baridi Kali la Dar es Salaam na lisilo la Kawaida ili Nikaoge nalazimika Kwanza kupiga na Kucheza Misebene ya Wenge Musica BCBG hasa ile ya Zenith ambapo Marapa akina Tutu Calugi ( Yombo Lumbu ) na GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Pitshou Lisimo ) walifanya Kazi Kubwa sana ndiyo Mwili unapata ahueni ya Maji ya Baridi ambayo Mkomavu Mimi wa Kanda Maalum ( Mara ) napenda Kuyaoga.

TMA say something Baridi Kali DSM.


Acha udwanzi kuna baridi gani dar ukija njombe sindio utakufa kabisa
 
Nilikuwa natafuta kwa Makusudi Mtu wa Kugombana nae Leo nashukuru nimekupata Pimbi Wewe baada ya Kujileta Mwenyewe.

Uko tayari?
😂😂 Na huo ulegevu ugombane mwanaume wa Arusha.
We gombana na hilo baridi ambalo huku kwetu hilo ni joto
 
Back
Top Bottom