TMA: Kiwango cha chini cha joto Dar kufikia 19°C

sema dar inatuharibu,hii sio baridi ya mtu kukosa amani.

yaani eti kabisa naamka asubuhi njmevaa na koti kabisaaa[emoji1787][emoji1787]

oyaaaa subiri ujitwalie gitaa la dalikimoko,hili baridi ni vita ya kiuchumi,walengwa ni vijana ambao ndio taifa la leo,wajichanganye na gitaa wapotelee huko.
 


Acha udwanzi kuna baridi gani dar ukija njombe sindio utakufa kabisa
 
Nilikuwa natafuta kwa Makusudi Mtu wa Kugombana nae Leo nashukuru nimekupata Pimbi Wewe baada ya Kujileta Mwenyewe.

Uko tayari?
😂😂 Na huo ulegevu ugombane mwanaume wa Arusha.
We gombana na hilo baridi ambalo huku kwetu hilo ni joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…