TMA ni Kama Taasisi Nyingi Za Serikali, Msishangae Kuambiwa Kuna Ukame

Ukifuatilia ufafanuzi wa TMA ya majirani baada ya utabiri kubuma,wala hawajikanyagi mara joto mara hatukusema vile.
 
hawashindwi watakuambia kuna types of el-nino yaani ya jua kali, mvua nyingi juu ya wastani na upepo mkali nayo ni el-nino
 
Huo mvuke huko juu unatakiwa ukutane na nini au uwe mwingi kiasi gani ili mvue inyeshe ?
 
Wameshapewa 700B wana shida gani
 
Una hamu na maji?!..yanakuja,ya kutosha tu na mwakani njaa, maana Kanda ya ziwa na kaskazini hakutolimika

Huo ni uwongo. Kanda ya ziwa, kuanzia mwezi September huwa inapata mvua za vuli zinazowezesha watu kufanya shughuli za kilimo. Safari hii imeshindikana kwa sababu ya kukosekana na upungufu mkubwa wa mvua.
 
TMA walisema kuwa Elnino ya mwaka huu itakuwa ya kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa, na kweli Elnino ya namna hii haijawahi kuwepo. Elnino isiyo na mvua!!
 
Huo ni uwongo. Kanda ya ziwa, kuanzia mwezi September huwa inapata mvua za vuli zinazowezesha watu kufanya shughuli za kilimo. Safari hii imeshindikana kwa sababu ya kukosekana na upungufu mkubwa wa mvua.
Kwani mvua za elnino hunyesha kiangazi?..nyi gen z uwezo wenu wa kufikiri sijui ukoje
 
Joto kali husababisha mvuke mwingi kwenda angani,kwa jiografia ya darasa la tano,huo mvuke baadae huwa mvua,so ukiwa mwingi na mvua huwa nyingi,zingatieni elimu
Mjinga wewe,

Misri ilipita miaka Saba bila kunyesha mvua, Hilo joto mbona halikuleta mvua?

Mvua ina baba, hainyeshi Kwa matakwa ya wanasayansi.
 
Habari ya El Nino inahusu bahari ya Pacific na mabara ya America, Asia pia Australia.
Hata hivyo, kuna changamoto ya kukariri bila kutumia akili inavyotakiwa, TMA na wengine wakaingia kichwa kichwa.
El Nino haitakiwi kuwa mjadala mkubwa kwa Africa.
Bahari zinazohusu Africa ni Hindi na Atlantic.
 
Mjinga wewe,

Misri ilipita miaka Saba bila kunyesha mvua, Hilo joto mbona halikuleta mvua?

Mvua ina baba, hainyeshi Kwa matakwa ya wanasayansi.
Ulikuwepo wakati hiyo miaka saba inapita bila mvua?.. unaijua mifumo ya mvua ya Dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…