TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

Mnaoona hiyo ni baridi basi hamjafika Yakutsk kule Siberia...
Kule vitu vinawekwa kwenye friji ili visigande.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mnaoona hiyo ni baridi basi hamjafika Yakutsk kule Siberia...
Kule vitu vinawekwa kwenye friji ili visigande.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Duh! Hiyo kali aisee. Makete baridi inapozidi sana watu huwasha moto wa mkaa kwenye karai kubwa na waliopo huketi kulizunguka na baadhi yao ku-enjoy chimpumu kwani nacho huwa cha moto.
 
Matamba ni Kitulo? Nazungumzia Matamba pale penye mji na viunga vyake kabla hujazianza zile kona 54 kuelekea Chimala. Labda Matamba kama Tarafa nakubali. Lakini Kitulo ni Mlimani kule lilipo shamba la mifugo.
Yah matamba kule mwanzo Kijiji cha mbela Kuna kajoto lakini baridi bado Kali ,kitekelo bado baridi Kali huku ngoje baridi bado Kali, ila sio Kama la kitulo,

Kitulo na matamba sio mbali kivile hata kwa miguu unakwenda ila baridi Kali ipo kitulo
 
Leo mchana nilikuwa Njombe town, kwakweli hali ya baridi sio utani, mchana wa saa sita baridi ni kwamba inaunguza ngozi utadhani umelala usiku juu ya bati
 
Haya wakazi wa nyanda za juu ni wakati sasa mnunue portable heater yangu used from Japan
110 v

Inatumia umeme v 100

Na mafuta ya taa. Kwa wakati mmoja
Ipo Dar.
 
Yah matamba kule mwanzo Kijiji cha mbela Kuna kajoto lakini baridi bado Kali ,kitekelo bado baridi Kali huku ngoje baridi bado Kali, ila sio Kama la kitulo,

Kitulo na matamba sio mbali kivile hata kwa miguu unakwenda ila baridi Kali ipo kitulo
Naam Mkuu; Niliishi pale Iwawa. Kipindi cha Barafu(sio baridi) hutoki kwenda Dombwela au Ndulamo.
Baridi kali sana lakini mdogomdogo niliizoea na nikapapenda sana Makete.
 
Ama kweli Mama anaupiga mwingi

Asante sana Mama yetu.
 
Naam Mkuu; Niliishi pale Iwawa. Kipindi cha Barafu(sio baridi) hutoki kwenda Dombwela au Ndulamo.
Baridi kali sana lakini mdogomdogo niliizoea na nikapapenda sana Makete.
We acha tu siku ya Kwanza unaweza sema mi kesho naondoka ila ukikumbuka majukumu unakomaa, mwisho wa siku na wewe inakuwa nyambuda
 
Uku njombe ali ni mbaya nimefua nguo leo siku ya 3 azijakauka na amna dalili ya kukauka hii ni hatari kila nikifkiria njombe tu ni ivi je uko russia kwenye mji wa SOCHI uwa inakuaje
 
Ngoja nisogeze safari yangu mbeya kwa muda sitaki kuganda lkn najua bei ya nyama itakuwa juu Sana
 
Huko kuna wenyewe waliolizoea baridi..sisi wa Pwani ngoja tuendele kuserebuka na viuno vya wamakonde huku mwili wote unavuja jasho.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mshangao asubuhi madogo wanaenda na bukta shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…