TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

Hapana mkuu. Mazingira na mishemishe zako zitakulazimisha utoke nje tu. Siku za mwanzo ni kweli utaisikia baridi sana lakini kadri muda utakavoenda utazoea na kuiona ni ya kawaida tu. Usiogope.
Kabisa hata ngozi ukiwa kule na DSM tofauti sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…