Hassan r rwitita
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 187
- 69
Msemaji wa hali ya hewa amepewa kibari na mamlaka kubwa kwa hiyo asiwe na wasiwasi ila sisi WABENA tunakula sana sana tunaita #nyanzi hivi anavyotolea utabiri wake hatumwelewi kabisa , ndio kama anawafukuza. Tunatamani kuhamia hata kenya hivyo ni uwezo hatuna.