TMA waeleza uwezekano mdogo nzige kuingia Tanzania

Msemaji wa hali ya hewa amepewa kibari na mamlaka kubwa kwa hiyo asiwe na wasiwasi ila sisi WABENA tunakula sana sana tunaita #nyanzi hivi anavyotolea utabiri wake hatumwelewi kabisa , ndio kama anawafukuza. Tunatamani kuhamia hata kenya hivyo ni uwezo hatuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…