TMA watabiri mvua kubwa Jumamosi na Jumapili

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, imetabiri mvua kubwa inyotarajiwa kunyesha tar 27 na 28 Januari 2024. Mvua hizi zimetabiriwa kuwa tarehe 27 Januari 2024 zitanyesha mikoa mitano, Morogoro Kusini, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Njombe. Aidha kwa siku ya Jumapili Januari 28, 2024 zitanyesha Morogoro Kusini, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Njombe, Songwe na Iringa.


 
Hawajaitaja Dar lakini trust me. Itaputa na kuacha vilio
 
Usife kizembe
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Watu mna hasira na wanaoishi mab
Safari hii wa mabondeni mtahama mtake msitake...
Sijui waishio mabondeni waliwakosea nini?
Wakati ndo walipakodi wakubwa wanaosababisha zipatikane hela za kupigwa
ili wapigaji wajenge sehemu nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…