TMA watabiri mvua kubwa Jumamosi na Jumapili

Watu mna hasira na wanaoishi mab

Sijui waishio mabondeni waliwakosea nini?
Wakati ndo walipakodi wakubwa wanaosababisha zipatikane hela za kupigwa
ili wapigaji wajenge sehemu nzuri.
Hapana siwachukii nawaonea huruma..kwa sbb ni hasara sana kila mwaka unaharibikiwa vitu maji yanaleta uharibifu mkubwa..why ukae mahali pa hivyo? Utasema umejenga nyumba lakini hasara unayopata unaweza jenga chumba kimoja au viwili sehemu salama mnakohamishiwa...
 
Shukran sana
 
Pole Sana mkuu, ulkua mabondeni?
Kwa stahili hii,basi Dar yote bonde. Sehemu zote niliziacha nikajua sasa huku safi. Kumbe yale yale tu. Nahisi miundo mbinu mkuu,ila nilikipata cha moto.
 
Wanazingua Leo hapo jedwali Alina mvua lakini uku inakita hatariiiiii
Usiwadharau,umeshaambiwa wanatabiri ukisubiri inyeshe au wakuthibitishie kama wanavyofanya wenzetu waliojitosheleza kivifaa maji yatakusomba ukiwa umekaa hapo sebuleni kwako.
 
Usiwadharau,umeshaambiwa wanatabiri ukisubiri inyeshe au wakuthibitishie kama wanavyofanya wenzetu waliojitosheleza kivifaa maji yatakusomba ukiwa umekaa hapo sebuleni kwako.
Sasa we huon hiyo chat inasema Leo akuna mvua je tungepita na huo utabili wao tukajisahau kutia tahadhali Leo si tungepoteza ndugu wengi zaidi ya Hawa mana hapa tulipo asaivi ni vilio vimetanda na tupo juu ya bwana atuna tena makazi
 
Asante kwa Taarifa.

WATU WA MABONDENI CHUKUENI TAHADHARI

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sijaona Dar es Salaam hapo hivyo ngoja niendelee kurekebisha Kibanda changu hapa Bonde la Mpunga Kinondoni ambacho Kilisombwa na Mvua Kubwa ya Weekend iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…