TMA watabiri mvua kubwa Jumamosi na Jumapili

Insha-Allah....tuchukue tahadhari na tusisahau kuvuna maji kipindi hiki
 
Baada ya mafuriko leo morogoro ndo wànatabiri? Hovyo kabisa.
 
Morogoro Jioni Hii Imenyesha Mvua Kubwa Mpaka KatikATI Ya Mji Maji Yameingia Kwenye Maduka
 
Wadada mlio single ambao mpo mabondeni njoeni piemu tujadiliane hii taarifa
 
Hiyo sehemu salama unapewa na nani? kama siyo mfuko wako kuamua?
 
Hiyo sehemu salama unapewa na nani? kama siyo mfuko wako kuamua?
Si huwa wanapewa maeneo ya kuhamia? Sema inategemea kama eneo lilikua la makazi toka awali kama halikua la makazi ndo watajibeba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…