TMA ya sasa siyo ya mstaafu Dr Kijazi, mvua za El Nino zimekataa utabiri.

TMA ya sasa siyo ya mstaafu Dr Kijazi, mvua za El Nino zimekataa utabiri.

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,870
Reaction score
15,068

Si haba tumepata utabiri wa mvua kubwa za El Nino toka TBA.
Lakini jua ndio linawaka balaa!
Nakumbuka enzi za mama Dr Kijazi wa Hali ya Hewa(TMA) ilikuwa kabla hajamaliza kuongea, mvua pwaaaa..!
 
Tatizo mpaka sasa hivi taarifa zinaonesha El Nino + Positive Indian Ocean Dipole. Hii kitu ni mvua kwa upande wa East Africa.

Kinachosababisha mvua hakuna (hali ya ukame) ni Madden-Julian Oscillation ambayo ipo Phase 2. Ni temporary atmospheric disturbance ndiyo inapelekea suppression ya warm air & delay in cloud formation. Ikienda Phase 4 tutegee mzigo wa mvua kushuka wa maana.

Tusubiri November - December
 
TMA imepokea taarifa kutoka taasisi za kimataifa , ishu ni kuchukua tahadhari ..Jambo limashaitwa utabiri , wenzio kila muda wanatoa utabiri kwa sababu ishu kama mvua na kimbunga ni jambo la uelekeo ,kuna uwezekano likabadilika muda wowote .
 
Tatizo mpaka sasa hivi taarifa zinaonesha El Nino + Positive Indian Ocean Dipole. Hii kitu ni mvua kwa upande wa East Africa.

Kinachosababisha mvua hakuna (hali ya ukame) ni Madden-Julian Oscillation ambayo ipo Phase 2. Ni temporary atmospheric disturbance ndiyo inapelekea suppression ya warm air & delay in cloud formation. Ikienda Phase 4 tutegee mzigo wa mvua kushuka wa maana.

Tusubiri November - December
Utapata tabu kumuelewesha mtu ambaye haujui kama ni utabiri kutokana na uwezekano .
 
85% ya usafi na uzibuaji wa mitaro umefanywa kwa kujitolea kwa wanakijiji,wanamtaa,wafanya biashara na 15% ndio serikali kupitia manispaa na almashauli na wengine hao ndio wamegonga b700+
 
Science haijawahi danganya lakini. Inabidi tukumbuke hivyo, utabiri wa El nino haujafanywa na TMA peke yake. Tuendelee kuchukua tahadhali
Nadhani wengi tuna shida ya uelewa.kinachotuchanganya ni kwamba tma wanakataa hawajasema kuwa kutakuwa na mvua za el nino bali kutakuwa na el nino.tafsiri ya el nino ni mabadiliko ya hali ya hewa na si mvua za el nino.
 
Sasa bilioni 750 zilizotumika ilikuwa kwa ajili ya hewa?
 
Back
Top Bottom