masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Utapata tabu kumuelewesha mtu ambaye haujui kama ni utabiri kutokana na uwezekano .Tatizo mpaka sasa hivi taarifa zinaonesha El Nino + Positive Indian Ocean Dipole. Hii kitu ni mvua kwa upande wa East Africa.
Kinachosababisha mvua hakuna (hali ya ukame) ni Madden-Julian Oscillation ambayo ipo Phase 2. Ni temporary atmospheric disturbance ndiyo inapelekea suppression ya warm air & delay in cloud formation. Ikienda Phase 4 tutegee mzigo wa mvua kushuka wa maana.
Tusubiri November - December
Mbona mgumu kuelewa.Utapata tabu kumuelewesha mtu ambaye haujui kama ni utabiri kutokana na uwezekano .
Hii tma ni ya wadebedesha suruali wa maccm.iko kimkakati.ni ya wapigaji wa ccmView attachment 3696045
Si haba tumepata utabiri wa mvua kubwa za El Nino toka TBA.
Lakini jua ndio linawaka balaa!
Nakumbuka enzi za mama Dr Kijazi wa Hali ya Hewa(TMA) ilikuwa kabla hajamaliza kuongea, mvua pwaaaa..!
Hapo sasa!!Watu wameshakula mabilioni, viongozi wa Bongo jau sana kmmk 🙌
Nadhani wengi tuna shida ya uelewa.kinachotuchanganya ni kwamba tma wanakataa hawajasema kuwa kutakuwa na mvua za el nino bali kutakuwa na el nino.tafsiri ya el nino ni mabadiliko ya hali ya hewa na si mvua za el nino.Science haijawahi danganya lakini. Inabidi tukumbuke hivyo, utabiri wa El nino haujafanywa na TMA peke yake. Tuendelee kuchukua tahadhali
Wangesubiri kwanza utabiri utimie kwanza kabla hawajaanza kubugia Yale mabilioni ya El Nino.Utapata tabu kumuelewesha mtu ambaye haujui kama ni utabiri kutokana na uwezekano .
Sasa bilioni 750 zilizotumika ilikuwa kwa ajili ya hewa?Nadhani wengi tuna shida ya uelewa.kinachotuchanganya ni kwamba tma wanakataa hawajasema kuwa kutakuwa na mvua za el nino bali kutakuwa na el nino.tafsiri ya el nino ni mabadiliko ya hali ya hewa na si mvua za el nino.