TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Nategemea kulima hombolo dodomaWe uko pande zipi? Mvua zinaanzaga kunyesha mwezi wa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nategemea kulima hombolo dodomaWe uko pande zipi? Mvua zinaanzaga kunyesha mwezi wa ngapi?
Mvua zinapokuwa chache, Mazao upatikanaji wake uta suasua! Kwa mkulima ni hasara kwa mfanyabiashara ni faida.In the contrary, utakuwa mwaka mzuri kwa wakulima! Mazao yatapatikana ya kutosha na bei zitakuwa nzuri. Ukiweza, lima heka za kutosha.
Wewe wa kanda ya kati hata usidhubutu, usishangae hata Uwele usifike Sembuse mahindiNategemea kulima hombolo dodoma
Ndugu,huwajui waTanzania? Kila kitu kwao hua ni story tu za masiala mitandaoni. Rejea swala la Corona,Timu za mipira, swala la Ndugai kusema mke wa YESU. Na mengineyo mengiBinadamu hatuna jema. Kipi kibaya wamefanya hawa watabiri hadi kupelekea kila mmoja kubeza utabiri?
Hao wataalamu bora wabadilishwe tu maana naona wanafanya kazi kimazoea tu hawana jipya.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba kazi ya kuambatanisha solutions za majanga ni za mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa?Wakutabirie, wakutangazie then wakupe na solutions!Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa!Ndivyo ofisi za serikali zilivyo. Kung'ang'nia vyeo na kazi bila uwezo wala ubunifu. Unapotoa taarifa ya utabiri wakati tukio limeshaonekana, kuna sayansi gani hapo? Na ili ujue kwamba hawa hawanaga muda wa kusumbua vichwa vyao, ni pale wanapotoa tahadhari za majanga bila kuambatanisha na solutions. Kumbe tulitegemea hili janga lijulikane mapema kabla ya mavuno ili watu wakadirie mahitaji yao ya chakula kwa msimu wote wa njaa, watu wa mifugo wajiandae kwa kuwa na hifadhi bora za maji kwenye mabwawa maalumu kwa ajili ya mifugo yao, wizara za afya ziwe tayari katika utekelezaji wa mipango dhidi ya magonjwa ya ukosefu wa maji kama macho, magonjwa ya ngozi, utapia mlo kwa watoto kwa kukosa viini lishe mfano vihusuvyo mboga mboga;, n.k
Ninashangaa hata wakisema habari za mafuriko amamatetemeko, wanaishia kutoa taarifa kama viranja badala ya kuenda mbele zaidi na kuwapa watu njia za usalama. Na hakuna ofisi zenye majbu jeuri kama ofisi za umma, hasa baad ya Magufuli kuondoka. Wezi wa mizani nao wameshamiri, watu wakinunua kilo ya nyama, anapewa 3/4 halafu akilalamika, anaambiwa alipashwa aombe kusaidiwa kupimiwa vizuri.
Hapa ni nini? Nina mifano mingi sana. Lakini hii ndiyo serikali.
Wametabiri ndiyo maana wanasema mwezi Octoba mpaka Desemba. Acheni chukiHuenda hata wao hawajui maana ya kutabiri
Walikuwa wanakisea zamani wakati wakiwa na vifaa duni.TMA hawana msaada wowote haswa kwa sisi wakulima, huwa wanatuchanganya tu, bora hata wakae kimya.
Mama kijazi pumzika sasa pisha damu mpya.