Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaSisi wa mabondeni tutafute pakuhamia kwa muda
hakika!.Mungu atusaidie tusipate maafa tokana na mvua kubwa.
hali ya leo unaionaje lakini?Hizo ni uongo
Hawawezi kosa watasema mvua imeharibu miundo mbinu yao.Mvua inyeshe ili Tanesco na Dawasa wakose chakujitetea
Kwakweli inafaa kwa kilimo cha maharagehali ya leo unaionaje lakini?