TMA yatoa tahadhari ya upepo mkali unaoweza kuharibu mazao ya chakula

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi wa mikoa ya Njombe, Songwe, Mbeya na Ruvuma, kuchukua tahadhari kufuatia kuwepo kwa upepo mkali ambao unaweza kusababisha mazao yao ya chakula kuathirika.
 
Upepo huo utakua lini hadi lini?? Au utakuepo tu?
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi wa mikoa ya Njombe, Songwe, Mbeya na Ruvuma, kuchukua tahadhari kufuatia kuwepo kwa upepo mkali ambao unaweza kusababisha mazao yao ya chakula kuathirika.
Mamaa wa breaking news...
 
Da! parachicihi zinapukutisha kwa upepo tuongeze kumwagilia
 
Back
Top Bottom