TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 25

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi, Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Aidha Kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni wastani, baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.

Utabiri huo umetolewa Machi 8, 2025.
 
wajanja wamesha weka mbegu chini huko mikoani
 
Wakuu,

View attachment 3264417

Samahani, huo utabiri uko wapi sasa tujisomee
au ulichokiandika ndio utabiri wenyewe
 
Daah! Afadhali ni mkoa wangu upo.

Wacha inyeshe.
 
Si
Wakuu,

View attachment 3264417

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi, Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Aidha Kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni wastani, baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.

Utabiri huo umetolewa Machi 8, 2025.

Singida na Dodoma walau watafurahia mema ya mvua maana wao ikifika mwezi huu mvua kwao huwa ni ndoto kwa sehemu kubwa
 
imetoa utabiri wa mvua kubwa
Hivi mvua za masika huwa zinatabiriwa?? Yaani misimu ya mvua,kiangazi, kipupwe n.k hutabiriwa??

masika

majira ya mvua nyingi za mfululizo katika ukanda karibu na Ikweta

Hali ya Hewa na Hali ya Hewa Tanzania​

Kuna misimu miwili ya mvua—mvua kubwa zaidi (inayoitwa masika ) kwa kawaida huanguka kutoka katikati ya Machi hadi Mei, na kipindi kifupi cha mvua (kinachoitwa vuli ) hutokea Novemba hadi katikati ya Januari. Msimu wa kiangazi, na joto la baridi, hudumu kutoka Mei hadi Oktoba.

imetoa utabiri wa mvua kubwa
Hivi mvua za masika huwa zinatabiriwa?? Yaani misimu ya mvua,kiangazi, kipupwe n.k hutabirwa??

masika

majira ya mvua nyingi za mfululizo katika ukanda karibu na Ikweta

Hali ya Hewa na Hali ya Hewa Tanzania​

Kuna misimu miwili ya mvua—mvua kubwa zaidi (inayoitwa masika ) kwa kawaida huanguka kutoka katikati ya Machi hadi Mei, na kipindi kifupi cha mvua (kinachoitwa vuli ) hutokea Novemba hadi katikati ya Januari. Msimu wa kiangazi, na joto la baridi, hudumu kutoka Mei hadi Oktoba.

Everything is all about probability guessing nothing is sure or white& black.
Hata daktari anapokutibu ni just calculated or educated guessing but nothing is sure in this universe, ndio mana tuliambiwa faith can take you far away from where you're.
Hata hizo probability nazo si zina siku za kutokea!! Nacho maanisha waseme kwamba kuanzia wiki au mwezi na mwaka fulani mvua itaanza kunyesha!!
Sasa kutajiwa mikoa 15 mvua itanyesha ni mwezi ujao au mwaka 2027??
 
Back
Top Bottom