wajanja wamesha weka mbegu chini huko mikoaniWakuu,
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi, Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Aidha Kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni wastani, baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.
piga mbegu chini meku neema iko njianiItaanza lini ?
Unaelewa maana ya utabiri mkuu😂Sawa sawa, ila hawajasema muda au siku
Wakuu,
View attachment 3264417
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi, Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Aidha Kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni wastani, baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.
Utabiri huo umetolewa Machi 8, 2025.
Kwamba utabiri ni wa mwezi Desember au 2026 January! Kinachotabiriwa nacho sikinamuda wakutokea??Unaelewa maana ya utabiri mkuu😂
Wakuu,
View attachment 3264417
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi, Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Aidha Kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni wastani, baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.
Utabiri huo umetolewa Machi 8, 2025.
Hivi mvua za masika huwa zinatabiriwa?? Yaani misimu ya mvua,kiangazi, kipupwe n.k hutabiriwa??imetoa utabiri wa mvua kubwa
Hivi mvua za masika huwa zinatabiriwa?? Yaani misimu ya mvua,kiangazi, kipupwe n.k hutabirwa??imetoa utabiri wa mvua kubwa
Everything is all about probability guessing nothing is sure or white& black.Sawa sawa, ila hawajasema muda au siku
Hata hizo probability nazo si zina siku za kutokea!! Nacho maanisha waseme kwamba kuanzia wiki au mwezi na mwaka fulani mvua itaanza kunyesha!!Everything is all about probability guessing nothing is sure or white& black.
Hata daktari anapokutibu ni just calculated or educated guessing but nothing is sure in this universe, ndio mana tuliambiwa faith can take you far away from where you're.