TMDA dhibitini uuzaji wa dawa holela kwenye vyombo vya usafiri

Kichakoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2008
Posts
3,335
Reaction score
6,186
TMDA na mamlaka husika chukueni hatua haraka kuna upotoshaji mkubwa wa namna na aina mbalimbali za dawa zinazouzwa kwenye mabus yatokayo Moshi bus stand kwenda Arusha na kwenda Dar.

Vijana hao wanasema wanatoka kampuni ya Mama Kilimanjaro. Tafadhalini fuatilieni na mzuei upotofu unafanywa na wauzaji wa dawa hizo holela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…