TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6

Fegi hazina faida yoyote,napambana Sana kuachana na hii kitu nadhani kukwepa miezi 6 au kufokolewa 200,000 ni Bora kuachana nazo tu.
Kiburudisho gani KERO kwa wengine?
 
Kama ndio hivyo kwa nini wasipige marufuku kilimo cha tumbaku.
 
Kama ndio hivyo kwa nini wasipige marufuku kilimo cha tumbaku.
Hujakatazwa kuvuta ila vuta kistaarabu. Kuna watu sio wastaarabu na masigara yao wanavuta pasipo kuangalia wapo maeneo gani
 
Waondoe hicho kipengele cha au jela miezi sita na iwe au kunyongwa hadi kufa.

Na yule anayekamata mvutani akimfikisha tu kituoni apewe 50k pale pale hata kabla mtuhumiwa hajatozwa hizo 200k halafu uone kama watu wataendekeza kukera wengine kwa sitarehe zao.
 
Sawa.

Tufanyieni tu kama tarura


Ila wavuta sigara mnakera kweli kweli
 
Wenzetu wametenga smoking area

Bongo wamefanya hivyo au ndy wanatengeneza style ya kujipigia hela

Ova
 
wavutie wapi sasa
 
Dah.....wabongo wanajichanganya kweli....sugars siyo bangi Wala sex....Kuna tofauti kati ya hadhara....na hadharani....hadhara ni sehemu yenye mikusanyiko ya watu Kama masokoni, vituo vya Basi, kumbi za starehe nk.....na hadharani ni sehemu yoyote ambayo mtu anaonekana na mtu mwingine...hata ukikaa barazani kwako uko hadharani.....ukiwa shamba kwako nk.....tutafautishe kati ya maeneo ya umma.....maeneo ya wazi.....na maeneo binafsi....bila hivyo tamko hili Ni upuuzi🤣🤣🤣🤣🤣
 
loswahili ni kibantu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…