TMK Wanaume Family v/s TMK Wanaume Halisi

TMK Wanaume Family v/s TMK Wanaume Halisi

Dah sa hivi kundi jipya ni wanaume wa dar.........
 
Haya makundi baada ya kutengana kundi ambalo lilionekana kufanya vzr ni lile la WANAUME FAMILY.

ILA kundi la WANAUME HALISI hili kwa kuwa lilikuwa linaongozwa na Mkuu wa TEMEKE , KIROBOTO, lilikuwa na Mtaji mkubwa wa Mashabiki kindakindaki kila wimbo kwao ilikuwa oyaoya .

Nature alikuwa mlezi wa Wana , alikuwa anapokea show kama Nature lkn alikuwa hawatupi "WANAE" atakata chake na kuwagawia kilichobaki wenzake na maisha yakasonga .
Wamaume famili walifanya vizuri kidogo nahisi kutokana na Management waliyokuwa nayo muda huo, Nature na wenzake walitaka kufanya kazi kishkaji au kisela zaidi
 
Bila kuutaja wimbo wa wanaume kazini basi hujawatendea haki Wanaume Famliy
Kundi la TMK Wanaume Halisi liliundwa na:
- Juma Nature
- Inspector
- Luteni Kalama
- Doro
- D Chief
- Kaka Man
- Baba Levo
- Rich One
- Bob Q
- Abdul Mzimu
- Abdul Malipo

Na kundi la TMK Wanaume Family liliundwa na :
- Temba
- Chege
- KR
- YP (RIP)
- Y Dash
- Jebi (RIP)
- Zozo Wida
- Sticko
- Tripple A
- Lukeza

Sent using Jamii Forums mobile app
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Noma sana
 
Hizo ndizo nyimbo za bongo fleva haswa ,hizi
Za Sasa watafute brand Yao tu
 
Bila kuutaja wimbo wa wanaume kazini basi hujawatendea haki Wanaume Famliy
Kundi la TMK Wanaume Halisi liliundwa na:
  • Juma Nature
  • Inspector
  • Luteni Kalama
  • Doro
  • D Chief
  • Kaka Man
  • Baba Levo
  • Rich One
  • Bob Q
  • Abdul Mzimu
  • Abdul Malipo

Na kundi la TMK Wanaume Family liliundwa na :
  • Temba
  • Chege
  • KR
  • YP (RIP)
  • Y Dash
  • Jebi (RIP)
  • Zozo Wida
  • Sticko
  • Tripple A
  • Lukeza

Sent using Jamii Forums mobile app
KR alibaki Tmk wanaume famili, lkn alikuwa anahudhuria na kushiriki shoo zinazoandaliwa na kundi la wanaume halisi
 
Back
Top Bottom