to all 4m four

FADHILI LUCAS

New Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
2
Reaction score
0
kwa habar nilizopata ni kwamba necta wametangaza kuwa bado matokeo yanaendelea kufanyiwa mchakato yakiwa tayari yataonekana kwenye mitandao ya jamii kuwen na subira 4m four mtafaulu2
 
au ndo wanakamilisha mchakato wa kuwachakachua waislam kama walivyo fanya mwaka jana?wakirudia ujinga tutamg`oa ndalichako kwa nguvu.tunataka haki itendeke
 
Labda hakuna idadi ya kutosha kidato cha tano, kwa hiyo wanachonga matokeo yanayowaza kajaza shule za kidato cha tano. Mnasahau walivyofanya darasa la saba kupunguza cut-off point toka 70/250 hadi 40/250?
 
au ndo wanakamilisha mchakato wa kuwachakachua waislam kama walivyo fanya mwaka jana?wakirudia ujinga tutamg`oa ndalichako kwa nguvu.tunataka haki itendeke

we kama ni juha ni juha 2..majitu mnakalia kutwa nzima kushndia misikitin huku mkiimba kaswida,mtegemee na nyie mfaulu kweli?
 
au ndo wanakamilisha mchakato wa kuwachakachua waislam kama walivyo fanya mwaka jana?wakirudia ujinga tutamg`oa ndalichako kwa nguvu.tunataka haki itendeke
i feel sorry for you and your brain
 
Asante na Hongera kwa kuanzisha thread
 
Watoe tamko juu ya ukurasa wa Facebook km ni wa kwao kweli au la ili kuepusha upotoshaji unaoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…