FADHILI LUCAS
New Member
- Feb 11, 2013
- 2
- 0
kwa habar nilizopata ni kwamba necta wametangaza kuwa bado matokeo yanaendelea kufanyiwa mchakato yakiwa tayari yataonekana kwenye mitandao ya jamii kuwen na subira 4m four mtafaulu2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au ndo wanakamilisha mchakato wa kuwachakachua waislam kama walivyo fanya mwaka jana?wakirudia ujinga tutamg`oa ndalichako kwa nguvu.tunataka haki itendeke
i feel sorry for you and your brainau ndo wanakamilisha mchakato wa kuwachakachua waislam kama walivyo fanya mwaka jana?wakirudia ujinga tutamg`oa ndalichako kwa nguvu.tunataka haki itendeke