TO ALL JF MEMBERs: UJUMBE WANGU WA LEO @M1

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
“Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri”Hizo kondom mnazojifariji nazo pia haziaminiki, Leo wewe ni mjanja wa kushawishi, kuchochea na kufanya uzinzi na uasherati,ya kesho huyajui.

-Fuata imani na mafundisho ya dini yako.
 
Asante kwa ujumbe mzuri!
 
kidole hiki unachotunyooshea kumbuka nawe vitatu vinaelekea kwako
 
Ujumbe mzuri kumbuka na wewe kuusoma pia
 

Umekunywa?
 
"Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri"Hizo kondom mnazojifariji nazo pia haziaminiki, Leo wewe ni mjanja wa kushawishi, kuchochea na kufanya uzinzi na uasherati,ya kesho huyajui.

-Fuata imani na mafundisho ya dini yako.

kwani leo ni tarehe ngapi...😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…