Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Hata mimi huu msemo naupinga kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
meona eeeh huwezi chambia bia....usipoyanywa utayachambia Evelyn Salt
Naww unaona sawa?!
Point...Hello guys,
Kuna msemo mmoja unasema kuwa "behind every succesful man there is a woman", means kuwa mwanamke huchangia mafanikio ya mwanaume kwa kiasi kikubwa, i believe most of u JF men mmefanikiwa kiasi flani, mko chuo au sekondari, au mmjejiajiri/mnafanya kazi, jiulizeni hapo mlipofikia kuna mwanamke yeyote (wa rika lenu) hata mmoja aliewahi kukupa motisha/advice ili wewe ufanikiwe?
Amini msiamini, hapa duniani mwanamke anaekupenda ni mama yako, hao wasichana wengine unaowashobokea wengi wao wanakupotezea muda, hela, na vision, wanawake wengine ambao kidoogo wanaweza kuwa strength kwako ni wanawake wakubwa waliokuzidi umri eg. female teachers, auntie zako, bibi zako etc
Wanaume, hivi unafaidika nini unapokuwa social media eg instagram, facebook, kazi yako ni kuwatumia dm za mapenzi wadada wazuri wenye makalio makubwa usiowajua? huo muda ungetumia kufikiria who will be the right woman of ur life au kumjulia hali mama yako/or maybe ndugu zako huoni ingekuwa bora zaidi? Wanaume wengi hadi in their 30's wanashindwa hata kujenga nyumba kisa kuendekeza wanawake wasio na maana kwao, as if kwenye lile shimo kuna kitu kipya.
Most if not all women invests almost nothing in relationships, so guys in ur early 17's and 20's ur primary focus and resources ziende kwenye vitu vya msingi zaidi for ur better future.
Wenye nia ya kunielewa watanielewa.
NaamHello guys,