to all my single boyz in here..

to all my single boyz in here..

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,585
Reaction score
498
nataka kuitwa wifi hadi nichoke mwaka huu!
nataka kula pilau la harusi,
nataka kupiga vigelegele hadi koo likauke ndio maana mabinamu zangu especialy those single ones nawaletea vifaa ambavyo najua lazima mtangaze ndoa,mmeshakua watu wazima sasa, hebu oeni, 'uhuni' hauwapendezi tena.
Haya mchumba huyo hapo chini,kajieleza vizuri tu ,msipotangaza ndoa ntajua mna matatizo na itabidi mniambie mna matatizo gani.​

NATAFUTA MCHUMBA!!!!!

fg.jpg

NATAFUTA MCHUMBA ILA AWE TIYARI KUKUBALIANA NA MASHARTI YANGU
(1) Akubaliane na urembo wangu asinipangie,

(2)Awe na miaka kuanzia 50,

(3)Awe muimbaji,

(4)Asiwe na mke mwingine,

(5)Awe na chapaa za kutosha,

(6)Awe na nyumba ya maana,

(7)Asiwe na mkopo benk,

(8)Awe na gari zaidi ya mbili,

(9)Nikiwa nae asiangalie dadaz za pembeni,

(10)Asiwe na simu za tochi,

(11)Asiwe mnywa tapu tapuzzzz!!

(12)Awe hendi sam boy Na mwisho

(13) AKUBALI KUPIMA KIPIMO KIKUBWA.

Ni mimi wenu mrembo kuliko wote TZ Napatikana Nyakato sokoni (MWANZA)

With thanks to Florah Talent Promotion
 
Nimeshajichokea na maisha ya ukimburu,lakini hapo utanisamehe CM.Maana hata unipe pesa zote za deni la DOWANS kwa sharti la kumuoa huyu bado nitakataa!!!
 
Haya tenda hiyoooo.
Tupo kwenye kampeni. Single boys wote tunataka hadi kufikia mwakani wote muwe mshaoa.
 
Duuuh!!! Chura anapenda maji lakini sio ya motoo ...... .:behindsofa:
 
Nimeshajichokea na maisha ya ukimburu,lakini hapo utanisamehe CM.Maana hata unipe pesa zote za deni la DOWANS kwa sharti la kumuoa huyu bado nitakataa!!!

kwa nini unakataa?....kwani hafai......Ila Cheusi huyu shost na huo wanja ndio dizaini gani tena hiyo....
hujambo lakini mpenzi
 
kwa nini unakataa?....kwani hafai......Ila Cheusi huyu shost na huo wanja ndio dizaini gani tena hiyo....
hujambo lakini mpenzi

dah! wakuu nikifa basi sababu ni hayo maandishi ya red. naomba michango ya mazishi mumkabizi lawyer wangu uporoto1. RIP klorokwini
 
mmmh,style ya wanja na kinukta juu.sijui niite MTACHOKA WENYEWE
 
dah! wakuu nikifa basi sababu ni hayo maandishi ya red. naomba michango ya mazishi mumkabizi lawyer wangu uporoto1. RIP klorokwini

Usife haraka mkuu,maana hata mi sijaelewa bado aliyeitwa mpenzi ni mimi au Cheusi....
 
................Ila Cheusi huyu shost na huo wanja ndio dizaini gani tena hiyo....

Bado sijajua vizuri wadada mnachukuliaje suala la kujiremba kwa wanja wa namna hii, lipstiki nyeupe kama unga na kuoga dawa hadi mashavu yanakuwa mekundu. Hivi, mnadhani wanaume wanavutiwa na vitu vya namna hiyo? Mi sielewi. Siku hizi wakiwepo wanawake kumi kuna wawili wameharibika ngozi kwa kutafuta weupe wa akina Preta, hivi inakuwaje jamani????!!!
 
Nimeshajichokea na maisha ya ukimburu,lakini hapo utanisamehe CM.Maana hata unipe pesa zote za deni la DOWANS kwa sharti la kumuoa huyu bado nitakataa!!!

mmh kama una matatizo yoyote be open,nieleze tutafute suluhu,mimi ni dada yako nieleze tu coz sioni sababu yakumkataa huyu dada hasa nilidhani utanishukuru kwa kukuintroduzisha lkn bado unatafuta sababu za kukwepa ndoa.
 
kwa nini unakataa?....kwani hafai......Ila Cheusi huyu shost na huo wanja ndio dizaini gani tena hiyo....
hujambo lakini mpenzi

hawa kaka zetu hawatabiriki na sio rahisi kujua nini hasa kinawavutia ndio maana nikadhani huu wanja unaweza ukawa'activate' wakatangaza nia.
Mim cjambo best yangu namshukuru Mungu nimeanza mwaka nikiwa na kila sbb ya kumshukuru.
 
Nafikiri tukiacha na urembo...kigezo cha umri nacho kitawaondoa wengi kwenye list!! kwanini anataka babu, wakati yeye bado binti???!!!
 
Nafikiri tukiacha na urembo...kigezo cha umri nacho kitawaondoa wengi kwenye list!! kwanini anataka babu, wakati yeye bado binti???!!!
hapo 50 pia hapati mie nazani angeanzia 60+. hili balaa kuliweka ndani panataka ujasiri kuliko wa ahmadenajadi
 
kaka unaweza kuamka usingizini ukaangalia kulia kwako ukapiga mayoweee
unaweza ukamnadia mke wako mwizi bila kujishtukia. tutubuni jamani , hii picha inazihirisha kabisa kwamba tumeumbwa kwa udongo.
 
mabinamu mnanimake proud kwa kuanza kuniomba contact zake,
nilijua mtasema tu lkn mwisho wa siku kuna atakayeguswa.
 
what? huyu hata nikipewa u-kikwete simtaki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom