nataka kuitwa wifi hadi nichoke mwaka huu!
nataka kula pilau la harusi,
nataka kupiga vigelegele hadi koo likauke ndio maana mabinamu zangu especialy those single ones nawaletea vifaa ambavyo najua lazima mtangaze ndoa,mmeshakua watu wazima sasa, hebu oeni, 'uhuni' hauwapendezi tena.
Haya mchumba huyo hapo chini,kajieleza vizuri tu ,msipotangaza ndoa ntajua mna matatizo na itabidi mniambie mna matatizo gani.
NATAFUTA MCHUMBA!!!!!


NATAFUTA MCHUMBA ILA AWE TIYARI KUKUBALIANA NA MASHARTI YANGU
(1) Akubaliane na urembo wangu asinipangie,
(2)Awe na miaka kuanzia 50,
(3)Awe muimbaji,
(4)Asiwe na mke mwingine,
(5)Awe na chapaa za kutosha,
(6)Awe na nyumba ya maana,
(7)Asiwe na mkopo benk,
(8)Awe na gari zaidi ya mbili,
(9)Nikiwa nae asiangalie dadaz za pembeni,
(10)Asiwe na simu za tochi,
(11)Asiwe mnywa tapu tapuzzzz!!
(12)Awe hendi sam boy Na mwisho
(13) AKUBALI KUPIMA KIPIMO KIKUBWA.
Ni mimi wenu mrembo kuliko wote TZ Napatikana Nyakato sokoni (MWANZA)
With thanks to Florah Talent Promotion