Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Thed weld dwellers nyie vumbi ndio jadi yenuSasahivi mikoa yote inavumbi sasa moja ya mambo ninayoyachukia ni vumbi kuna mda najiuliza inakuaje nchi zilizoendelea wamefanikiwa kupiga pavement sehemu kubwa sana ya nchi zao sisi tunahindwa nini
Mfano hata maeneo yale ya mjini tumeshindwa kuondoa vumbi ni jambo ambalo linashangaza sana
Na jambo la kushangaza hakuna jitihada zozote zile za kuondoa vumbi maeneo ya mijini kupitia mipango miji- watu wanaendelea kujenga kiholela na hii inapelekea kuwa na ugumu wa kuondoa vumbi mijini na kwenye town centre za miji midogo na vijijini
Hamia Scotland mkuu utatafuta vumbi hadi utalimss.Sasahivi mikoa yote inavumbi sasa moja ya mambo ninayoyachukia ni vumbi kuna mda najiuliza inakuaje nchi zilizoendelea wamefanikiwa kupiga pavement sehemu kubwa sana ya nchi zao sisi tunahindwa nini
Mfano hata maeneo yale ya mjini tumeshindwa kuondoa vumbi ni jambo ambalo linashangaza sana
Na jambo la kushangaza hakuna jitihada zozote zile za kuondoa vumbi maeneo ya mijini kupitia mipango miji- watu wanaendelea kujenga kiholela na hii inapelekea kuwa na ugumu wa kuondoa vumbi mijini na kwenye town centre za miji midogo na vijijini
Laiti kama Magufuli angekuwepo vumbi ingebaki historia.Sasahivi mikoa yote inavumbi sasa moja ya mambo ninayoyachukia ni vumbi kuna mda najiuliza inakuaje nchi zilizoendelea wamefanikiwa kupiga pavement sehemu kubwa sana ya nchi zao sisi tunahindwa nini
Mfano hata maeneo yale ya mjini tumeshindwa kuondoa vumbi ni jambo ambalo linashangaza sana
Na jambo la kushangaza hakuna jitihada zozote zile za kuondoa vumbi maeneo ya mijini kupitia mipango miji- watu wanaendelea kujenga kiholela na hii inapelekea kuwa na ugumu wa kuondoa vumbi mijini na kwenye town centre za miji midogo na vijijini
Siwezi limiss vumbiHamia Scotland mkuu utatafuta vumbi hadi utalimss.
Nahuu ndo msimu wake og
Nilijua lile la shaba kumbe la kawaida!Sasahivi mikoa yote inavumbi sasa moja ya mambo ninayoyachukia ni vumbi kuna mda najiuliza inakuaje nchi zilizoendelea wamefanikiwa kupiga pavement sehemu kubwa sana ya nchi zao sisi tunahindwa nini
Mfano hata maeneo yale ya mjini tumeshindwa kuondoa vumbi ni jambo ambalo linashangaza sana
Na jambo la kushangaza hakuna jitihada zozote zile za kuondoa vumbi maeneo ya mijini kupitia mipango miji- watu wanaendelea kujenga kiholela na hii inapelekea kuwa na ugumu wa kuondoa vumbi mijini na kwenye town centre za miji midogo na vijijini
Kumbuka maandiko kuwa sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi.Iwe iweje utake usitake!Shida ya vumbi linaleta mafua na kifua
pia unakuwa mchafu muda wowote!