''to much expectations''

SOSTENESS J.N

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
83
Reaction score
19
Jamani,wanafunzi wengi nimegundua wanaota kuubeba ulimwengu kwa fani na vyuo walivyochaguliwa huo ni ujinga hakika,nitakupa mfano:waajiliwa wengi serikalini hawajasoma kwenye vyuo hvyo mnavyoviita ni bora,hvyo cha msingi ukasome na usiwaze utakuwa nani nchi hii maana wengi wenzenu wanazurula na mabahasha mijini humu hvyo keep kimya wadogo zangu shule kwanza maana hata waliosoma degree za science ni madei waka tu mtaani wanafundisha tuishieni
 
You had a good topic with great perspective but ended up with "mipasho"
 
watanzania bhana mmeishaona hizi mada za vyuo zinapata wachangiaji wengi sasa kila mtu anapost tu.
 
wewe umesoma nini?afadhal ya huyo deiwaka kuliko kukosa kabisa,usiongee pumba
 
very good,kupata ajiri ni ww mwenyewe 2 kuwashawishi waajiri kwa ubora wa majibu unaowajibu chuo hakina nafac yeyote ile
 
Nimeshndwa kumalizia kwa sababu mie ni beki,haya ma 4ward malizieni vizuri ila habari ndo hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…