SOSTENESS J.N
Member
- Feb 13, 2013
- 83
- 19
Jamani,wanafunzi wengi nimegundua wanaota kuubeba ulimwengu kwa fani na vyuo walivyochaguliwa huo ni ujinga hakika,nitakupa mfano:waajiliwa wengi serikalini hawajasoma kwenye vyuo hvyo mnavyoviita ni bora,hvyo cha msingi ukasome na usiwaze utakuwa nani nchi hii maana wengi wenzenu wanazurula na mabahasha mijini humu hvyo keep kimya wadogo zangu shule kwanza maana hata waliosoma degree za science ni madei waka tu mtaani wanafundisha tuishieni