To my Archduke

To my Archduke

basi napunguza
naomba unayoyapunguza uyahifadhi usiyagawe usiyatupe usimpe ayashike mwengine ukiona huna pa kuhifadhi tafadhali nitwishe mzigo wangu nihangaike nao
 
naomba unayoyapunguza uyahifadhi usiyagawe usiyatupe usimpe ayashike mwengine ukiona huna pa kuhifadhi tafadhali nitwishe mzigo wangu nihangaike nao
acha tu nikutwishe mzigo uangaike nao
 
Nimeshakata tamaa...
Niliokutana nao washauchanachana moyo mpaka nimewanyooshea mikono. Salute!

Nimebaki kujiimbia kawimbo ka Marc anthony ka 'when I dream at night'
Usikate tamaa, ujue kupotea njia ndio kujua njia, mapenzi hayana fundi wala bondia mkuu, utapata wako tena bila kutaraji utakua kama hivi amini hivo
 
Unadhani sikufaham?
archduke ni zaidi ya umjuavyo eti......hapo kwenye archduke sasa nilishaandika vileeee uzuri nimekumbuka kufuta stay tuned one day nitakuchapisha wallah
 
archduke ni zaidi ya umjuavyo eti......hapo kwenye archduke sasa nilishaandika vileeee uzuri nimekumbuka kufuta stay tuned one day nitakuchapisha wallah

Nieleweshe baby

Ujitajidi kuzuia usiandike vile
 
Back
Top Bottom