Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geuko langu litakusababishia mithili ya mpiga filimbi awekewapo Ndimu , Limao au Ukwaju!
Mbele ya macho yake ,
Ugwadu !
Ukigwaduka je? What next ?
Nikigwaduka itabidi utoe huduma ya kwanza...
Sidhani kama utaniacha nikuugulia maumivu
ilhali waweza nipe first aid......
But all the factors will remain constant...
Afu Excellent mbona huoi ?
Mayai hayo kamanda yanakwenda yakipungua!
Chagua basi una mind kisura gani humu tumkalie kooni !
Hahahahaha mwambie huyo au anasubir mpaka aote mvi.
Afu wee farkhina panapo watu wanakula ugali kwa nguru wa kuchoma!
Then wewe Kuku mtetea , tena wa kienyeji , uliyesheheni mifuta hhin'hhaa unakatiza kihasarahasara!
Hii si ndo uswazini wanasema kutafutana muhali?
Shaul'lako!
Mamamtu yakilala yombo nawewe , staki lawama.
Hahahahahaha toba weee acha nkajifiche mie.
Anythin happen it will b possible by the time of event!
The probability for a given event can be thought!
Nway ukipewa utataka tena!
Tena na tena!
Tuu leiyti !
Haisadii !
Ni kama unaenda kuuficha mshumaa stoo iliyolukukika mabelo ya mitumba!
hhaa will that event happen that's where my big qn is...
at that time the nature will do its work..
explore the unexplored.......discover the undiscovered
Si hadi nipewe..nisipopewa je......ntugulia maumivu sna
Hahahahha au sawa na kujificha kwenye neti lol
Duuh hujambonji hadi milango hii !
Afu leo mbona umechangamka kiivo?
Nani kakutia ndimu?
Au umemeza ka'wine ?
All in all maudhui yako yamenikoleza!
Unajifanya Carl Peters au Dr. Lecky?
kichwa kinaniuma
kichwa kinaniuma
mmmmh ugonjwa usababishe wewe,utibu mwenyeweDactari niko hapa............kwa ajili yako
Pendo lenu lidumu kama la Arushaone na Lady doctor.
kichwa kinaniuma
Pendo lenu lidumu kama la Arushaone na Lady doctor.
Pendo lenu lidumu kama la Arushaone na Lady doctor.