Wewe unapenda iwe sex au text?
Nimeku hamu?Anasema eti umenimiss.
Mimi nilichoelewa ni zile texts tunazotuma kujitetea, sitarudia tena, shetani tu alinipitia nk. Na promise kibao.
Mimi ningependa iwe hiyo hiyo yako.
SawaNimeku hamu?
Sawa ipi sasa?Sawa
Si ujinga ujue?Yes.
Khaa yaani nawe unaniuliza kweli.
Amekuwaje sasa kwani?Haya twende nayo...tujifanye tulimskia vibaya Card B kabla hawqjabadilika.
Teh...ila la kumisiwa huwa halina swali...ni kama I love you...sio swali ila nilakujibu.Si ujinga ujue?
Tunaibadilisha maana...ya texts haitukidhi haja.Amekuwaje sasa kwani?
Mimi nimeunga mkono tu hojaEehh ndio niliuliza...napitia kwako nini? Kabla sijamfikia?
Ndio I love you too???Teh...ila la kumisiwa huwa halina swali...ni kama I love you...sio swali ila nilakujibu.
Mimi nimeunga mkono tu hoja
Unaelekeaelekea... Siunajua kujibu Asante inavyoumiza eeeh.Ndio I love you too???
Lugha hii ...unaweza kujifunga maisha
Hapo sawa....unakuja kuja.[emoji41]
Acha nimtafute Everlasting G Wangu popote alipo. ...Unaelekeaelekea... Siunajua kujibu Asante inavyoumiza eeeh.