Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6]wewe acha kabisaa nilikufa kama halafu nilivyokua nkakuta kumbe mshikaji wangu wa faida nikasema nikapata nguvuu!!!Nampendaga mwenyewe shoga angu
Sent using Jamii Forums mobile app
AhahahahhahaahahShoga karibu songea nimekuja kudanga na member maarufu sana hapa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahahaHahaaa.....[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ushamjua eehh!swaga zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha
Mimi nilisikia kukufwaaa... Namuuliza nanii tena, ananiambia njoo usome hukooo...
Mie nampendaga bure kabisaaa jamanii Shunie
Hahaaa...kama kawaida yakee...[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]life ni fupi hajivungi etiiiHahaha hahaha hahaha
Katupia status anaisifia kweeelii chupa ya kijani
Inategemea na niliyenae sasa hvCard B says.
I like sex with my exs when they ask for the second chance.
Kabisaaa jamanii .Hahaaa...kama kawaida yakee...[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]life ni fupi hajivungi etiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anatia presha balaa...nampenda shoga angu wa faida mzungu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa kimeleta maanaSasa texts za nini?
Wewe hupendi nilichobadili?
Ungependa iwe sex badala texts hahahaaaMimi nilichoelewa ni zile texts tunazotuma kujitetea, sitarudia tena, shetani tu alinipitia nk. Na promise kibao.
Mimi ningependa iwe hiyo hiyo yako.
Acha nimtafute Everlasting G Wangu popote alipo. ...
Kwahiyo leo unamkana sakayo mm si ndio nilikurudisha na kukuombea msamahaMgomvi sana weyeee [emoji23][emoji23]
Si mlikuwa mnanitetaUsikome dadaa
Ila unajuaga kushtuaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe umefika ukiwa na nguvu.. Mimi nililegeaaaa...
Nilisikia tuu dada kuna lithread lako kule
Kweli mm siwaitiSema ukweli kabisaaa jamanii
Niko ya 5 nalalaUko ya ngapi eti