ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Yule ni ex wangu tu jamani, hata we si una ex wako eti!!Mh uko na wangapiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni ex wangu tu jamani, hata we si una ex wako eti!!Mh uko na wangapiiiii
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaEbu uko
Umeongeza siku za kuishi hapo
Nimeshindwa kabisaa hizo mamboKabisaaa jamanii .
Natamani na mie ningeweza kugonga vyombooo
Tulikuwa tunaambizana tuu venye unajua kuleta habari kwa matishiooooSi mlikua mnanisema mm
Hahahaaaa ukaona mawenge tuuuUwe unaita kwa mahaba jamani...
Mimi ile siku uliona network zilikataa
Hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama unavyoniitaga
Hahaaa....ndo zile zile bwana hazizidi wala niniUmeongeza siku za kuishi hapo
MmmhMarahaba my one n only [emoji39]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mxxiuuee ebu uko najiandaa kulala mm
Ex huwa nawahesabia marehemu kwahiyo sinaYule ni ex wangu tu jamani, hata we si una ex wako eti!!
Hahaha hahaha hahahaKweli siku tukiwa wote nitakuonjesha
Ndio sitawaita tenaTulikuwa tunaambizana tuu venye unajua kuleta habari kwa matishioooo
Mie huwa nalembua tuuChombo kile tena kinaleta hamu
Liniiii uliniita vizuri mpaka napatwaga na tumbo la kuhara najua mpicha wangu umetundikwa ukoHahaha hahaha
Mimi nakuitaga vizuri kabisaaa jamanii
Mie hata kujaribu siweziAcha kabisaa stress ningetupa pembeni kabisaa....Nimeshindwa kabisaa hizo mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbavu zangu mmMmmh
Mimi tena jamani