Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,946
- 2,822
Wacha twende sawa
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha twende sawa
HahahahahaahhShoga karibu songea nimekuja kudanga na member maarufu sana hapa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhahaah nishagaacha mama ubusyNilivyoona heading nilijua Mama Sabrina ndio kaanzisha uzi.
Lakini hata wewe si una kale kamcheps ka kudumu kale kababu, mbona mi sina wivu...[emoji39]Unapenda kuutesa sana moyo wangu, au sababu unajua nakupenda mimi
Unapenda kutuchonganisha sana weyeee! Nakuangalia tu[emoji849][emoji12]Hataki ndio
dhuaifu kama spika ya radio bungeWewe ni dhaifu kweli.... sijawahi kuoma ex dhaifu kama wewe....asiyetaka second chance.
Si unajua kabisa hakana nguvu jamaniii! Mimi namuachia MunguLakini hata wewe si una kale kamcheps ka kudumu kale kababu, mbona mi sina wivu...[emoji39]
Hahaha, hakana nguvu. Yaani mzunguko mmoja tu kanalala?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji12]Si unajua kabisa hakana nguvu jamaniii! Mimi namuachia Mungu
Hata mmoja hakuna... Akiniona tuu kwisha habari yake!Hahaha, hakana nguvu. Yaani mzunguko mmoja tu kanalala?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji12]
Dogooo... MzimaaSi unajua kabisa hakana nguvu jamaniii! Mimi namuachia Mungu
Kaka wako wangapi?Hahahaha, dah! Hahaha!
Akiona vinono anamaliza, ila utakuwa unafaudu vipesa vyake asee!!!
Basi usiwe na wivu na mimi, Shunie hanipendi tu anataka kuchonganisha!!!
Aki mimi niko poa kabisaaa dada... Habari za kijiji yako
Mimi lazima niwe na wivu aki... Unajua tumetoka mbali eeehhhh...Hahahaha, dah! Hahaha!
Akiona vinono anamaliza, ila utakuwa unafaudu vipesa vyake asee!!!
Basi usiwe na wivu na mimi, Shunie hanipendi tu anataka kuchonganisha!!!
Hapa naibiwa mimi