Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Anao wangapi eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anao wangapi eti
Anhaaa....Hivi unanipenda unamiss wengine jamanii
Ukininunia nakushtaki kwa Kachuro.Mie nataka uzi wangu, halafu nimekununia
Kachuro mwenyewe nilimuomba hela ya lunch akaniblock...Ukininunia nakushtaki kwa Kachuro.
Najua pa kukufurahisha... mnuno utaisha wenyeweAbeeeeeee
Mimi mekununia!
Niko serious aki!!Najua pa kukufurahisha... mnuno utaisha wenyewe
Tatizo hela ya lunch yenyewe utadhani unataka kununua Vitz showroom ..Kachuro mwenyewe nilimuomba hela ya lunch akaniblock...
Nimewanunia woote!
Najua pa kukutekenyaNiko serious aki!!
Mie mekununiaa
Hahaha hahaha hahahaTatizo hela ya lunch yenyewe utadhani unataka kununua Vitz showroom ..
Hata sichezi na weweNajua pa kukutekenya
My one n only mbona unautesa moyo wangu lakini!!!!Akijibu nitag dada
Nisamehe Mimi jamani, sikutesi tena!My one n only mbona unautesa moyo wangu lakini!!!!
aiseNisamehe Mimi jamani, sikutesi tena!
Niambie babaa!aise
Usinitese tena bwana!!! Unauponda moyo wangu..Nisamehe Mimi jamani, sikutesi tena!
Punguza basi kuchepuka! Magonjwa ni mengi sana jamaniiUsinitese tena bwana!!! Unauponda moyo wangu..
Sijachepuka wala, hivi unavyonipa nichepuke tena ili iweje...Punguza basi kuchepuka! Magonjwa ni mengi sana jamanii